Your questions, answered

Answers to the questions we get asked most. If yours is not here, talk to us.

Gharama za SMS hutozwa nje ya gharama za kawaida za kutumia mfumo. Kila SMS moja itakayotumwa na mfumo hugharimu shilingi 30. Mteja anaweza kulipia idadi ya SMS kulingana na wingi wa wateja wake. Malipo hufanyika kwa lipa namba. Tafadhali wasiliana nasi ili kufahamu zaidi utaratibu wa malipo.

Talk to us

Our team is here to help.

contact@hudumacloud.com

Come say hello

Ohio / Samora Street, Dar es Salaam

Monday to Friday, 8am to 5pm